Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma

When GOD is ready we will join you broo...nilipenda sana nyimbo zako kipindi icho hadi kitaa wakanipa jina lako
PUMZIKA KWA AMANI KAKA
 
Dah.. Asee Jebi!!!? Yule mwana mwenye sauti nzuri sana ya kuimba.! I used to be a top fan.
Wanapagawa, Swahiba, story. Dah. Lala pema Jebi.
Tuonane paradiso.
Yap. Alitoa nyimbo kali halafu kama akapotea kwenye game
 
Ule wimbo nilikuwa naufahamu sana ila sikuwa namfamu muimbaji kwa sura.

Duh, R.I.P ndugu.
 
Yeeeh...Swaibaaa,Swaibaaa.....

Angekuwepo rafiki nisingewaza, rafiki kipenzi ninayempenda...
Angekuwepo rafiki nisingewaza,rafiki kipenzi nanayempenda.
Hayupo tena duniani Swaiba, niliyompenda mpaka kumoyo Swaiba..

R.I.P Jebby
 
aiseeeh hii taarifa akiipata jamaa yangu atasikitika sana,kila alipo timba gheto wimbo wake ulikua ule alio imba na tmk ama orodha na ukifika mstari wa "biashara ya wali alichanganya na mapenzi" anacheka sana maana nilisha kuwa na mahusiano na mdada wa mgahawani alafu akatuchanganya na bro mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…