Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma

Tanzia: Msanii Jebby afariki dunia kwao Dodoma

Angekuwepo rafiki nisingewaza, Rafiki kipenzi ninayempenda....daah alivuma kipindi Fulani akapotea, RIP Swahiba. Sasa utaona coverage ya huyu msanii ambaye kuna kitu amefanya kwenye sanaa inavyokuwa ndogo, ila yule mwingine ambaye hajafanya cha maana zaidi ya kutuonesha msambwanda anapewa coverage ile mbaya
Yaah n kweli kabisa.
 
Msanii wa Bongo Fleva, Jebby aliyewahi kutamba na wimbo "Swahiba", amefariki dunia leo mjini Dodoma, Msanii Afande Sele amethibitisha

Rest in eternal peace jebby


Source: [HASHTAG]#MwananchiUpdates[/HASHTAG]
FB_IMG_1524460332107.jpg
 
Temeke wailes kijana bado mdogo sana nguvu kazi ya taifa inazidi kuisha hii ni kupatwa kwa sanaa juzi dada yetu leo huyu tena
 
>>Alinisihi sana maisha haya..
<< Nisiwaseme watu kwa mabaya..

daah Jebby..!!.
nenda swahiba.
 
Temeke wailes kijana bado mdogo sana nguvu kazi ya taifa inazidi kuisha hii ni kupatwa kwa sanaa juzi dada yetu leo huyu tena
Hivi kwao si pale maeneo ya nyuma ya Imasco?
 
R.I.P
Jebby mzee wa Kastory na Swahiba..
Sio kastory tu na Swahiba huyu jamaa watu wamesahau nyimbo zake zilivuma sana.

Wanapagawa ilivuma sana
Kastory
Swahiba
Orodha
Na moja nimeisahau jina alimuimbia lulu maiko baada ya kifo cha kanumba

Nitammis sana jamaa alikuwa na Sauti nzuri na nyimbo zote kali
 
Dah Jebby[emoji24]
Nitakukumbuka sana na hizi ngoma zako
1.Wanapagawa
2.Swahiba
3.Marehemu kaacha Orodha
4.Wamadaha
kunangoma inaitwa story ya kabnt kamoja na
haitoshi umezsahau kweny list apo
 
Back
Top Bottom