Yaah n kweli kabisa.Angekuwepo rafiki nisingewaza, Rafiki kipenzi ninayempenda....daah alivuma kipindi Fulani akapotea, RIP Swahiba. Sasa utaona coverage ya huyu msanii ambaye kuna kitu amefanya kwenye sanaa inavyokuwa ndogo, ila yule mwingine ambaye hajafanya cha maana zaidi ya kutuonesha msambwanda anapewa coverage ile mbaya
Alipata ajali?Msanii wa Bongo Fleva, Jebby aliyewahi kutamba na wimbo "Swahiba", amefariki dunia leo mjini Dodoma, Msanii Afande Sele amethibitisha
Rest in eternal peace jebby
Source: [HASHTAG]#MwananchiUpdates[/HASHTAG]View attachment 754002
".............biashara ya wali alichanganya na mapenzi...." KastoryR.I.P
Jebby mzee wa Kastory na Swahiba..
Hapana kunanyingine inaongezeka.Temeke wailes kijana bado mdogo sana nguvu kazi ya taifa inazidi kuisha hii ni kupatwa kwa sanaa juzi dada yetu leo huyu tena
Hivi kwao si pale maeneo ya nyuma ya Imasco?Temeke wailes kijana bado mdogo sana nguvu kazi ya taifa inazidi kuisha hii ni kupatwa kwa sanaa juzi dada yetu leo huyu tena
Sio kastory tu na Swahiba huyu jamaa watu wamesahau nyimbo zake zilivuma sana.R.I.P
Jebby mzee wa Kastory na Swahiba..
Utakuwa bwana mdogo sana kiumri ....ngoma yake ya swahiba ,orodha zilikuwa hit in Tz man ...Sikuwahi mfahamu huyo , bongo napo wasanii wengi sana hata wengine hawapo kwenye game lakini niwasanii
Mwambie km kwangwaru sasa iv!Utakuwa bwana mdogo sana kiumri ....ngoma yake ya swahiba ,orodha zilikuwa hit in Tz man ...
Poa mkuuUtakuwa bwana mdogo sana kiumri ....ngoma yake ya swahiba ,orodha zilikuwa hit in Tz man ...
Ndio Wailes hiyo JombaaHivi kwao si pale maeneo ya nyuma ya Imasco?
Sawa jombaaNdio Wailes hiyo Jombaa
kunangoma inaitwa story ya kabnt kamoja naDah Jebby[emoji24]
Nitakukumbuka sana na hizi ngoma zako
1.Wanapagawa
2.Swahiba
3.Marehemu kaacha Orodha
4.Wamadaha
Ndio kwao pale nyuma ya Imasco zamani walikuwa na maskani yao kwenye miti miti pale utamkuta YP(nae marehemu) , Y Dash na Yeye Jebby (Temeke Unit)Hivi kwao si pale maeneo ya nyuma ya Imasco?