Tanzia: Msanii Mashaka (Ramadhani Ditopile) wa Kaole Sanaa Group afariki dunia

Tanzia: Msanii Mashaka (Ramadhani Ditopile) wa Kaole Sanaa Group afariki dunia

Innalillah wainna ilayh raijuun, namkumbuka vizuri tuu
 
Kwa kweli ni huzuni moyoni kumpoteza baba yangu wa hiari mzee Mashaka, huyu mzee alikuwa na roho ya kipekee sana kila mtu alimpenda mazishi yatakuwepo ilala bungoni japokuwa kwake ni ubungo kibo[emoji22][emoji22][emoji22]..inauma sana mzee umefariki ghafla ingali bado wanao tulikuwa bado tunakutegemea
Poleni sana.
 
Aliitendea haki tasnia yake enzi za uhai wake! RIP Mashaka pumzika kwa amani.
 
Back
Top Bottom