Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
YOUNG BLOOD AND BLACK GENERATION ZINAKATA MOTO SANA PANDE ZA TRUMP, MAYBE COZ OF THEIR LIFESTYLE SUCH AS BEEFS, NOTORIOUSNESS NA SOMETIMES UBAGUZI PIAH, NAKUMBUKA MARA YA KWANZA NAMFAHAMU HUYU JAMAA KTK WIMBO WA YG- 4 HUNNID UNAITWA "BITCH AINT SHIT" NDANI ALIKUWA FEATURED TYGA, MWEMBAMBA MREFUU HIVI NA KIPENSI CHAKE KTK HOODS ZA WATU WEUSI WAKISHOOT VIDEO HIYO, APUMZIKE KWA AMANI.Rapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo.
Mpaka Sasa inasemekana C.I.A ndiyo wanaohusika maana alikuwa yupo mbioni kufanya documentary ya Dr.Sebi- ambaye alikuwa ni daktari mwenye asili ya kiafrika aliyekuwa akitibu Ukimwi,kansa na kisukari na kwa kutumia dawa za mimea,Dr.Sebi naye alifariki miaka kadhaa iliyopita na inaaminika pia aliuawa na hawa Hawa C.I.A. Alale panapostahiliView attachment 1059881
Sent using Jamii Forums mobile app
JAMAA Victory lap mwaka jana ilikoswakoswa grammy halafu hapo alikua hana label...Overtime - Nipsey Hussle
Overtime, cause I ain't have a mic
I was in that Chevy playin' Savage Life
Niggas lookin' like I had it wrong
Now them niggas know I had it right
They don't know about them sleepless nights
Them lookin' for a reason nights
They say it's six degrees in life
Opportunity, preparation, made me this nice
Jamaa alikuwa anaandikaJAMAA Victory lap mwaka jana ilikoswakoswa grammy halafu hapo alikua hana label...
Mleta habari,badala ya kuleta taarifa ya kifo nawe unaongeza udaku wa akina Shigongo,,eti inaaminika,eti inasemekana sijui CIA ndi wanahusika,nani kakwambia kama sio uzushi na udakuRapa kutoka West Coast Nipsey Hussle afariki dunia baada ya kupigwa risasi nje ofisi ya kampuni yake ya nguo ambapo alikuwa yupo akipiga picha na watoto wadogo.