TANZIA: Msanii Nipsey Hussle afariki dunia kwa kupigwa risasi

Dr
Si unajua angetoa hiyo documentary angeharibu deal za watu za trillions of dollars wanazofaidika nazo kwa huu ugonjwa wa magumashi aka ukimwi. So ilibidi amalizwe asimalizie project hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sebi mwenyewe katika uhai wake hakuweza kutetemesha soko la madawa, ndio angeweza yeye?
 
Alikua WASAFI band? siku hizi wanapiga ukumbi gani?
 
Mleta habari,badala ya kuleta taarifa ya kifo nawe unaongeza udaku wa akina Shigongo,,eti inaaminika,eti inasemekana sijui CIA ndi wanahusika,nani kakwambia kama sio uzushi na udaku
Yaani waswahili bana,eti CIA,yaani mtu anakurupuka tu na kusema fulani wamehusika bila kuleta vielelezo.Black gangs na Beefs za kijinga zinawamaliza sana Blacks.
 
Si walimuwahi...wakampa.kesi aliposhinda kesi maana mahakama ilimuagiza alete wagonjwa 7 kama ushahidi yeye akaleta 77. Akashinda kesi. Ndo ghafla akafariki

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua ni muda gani umepita tangu aliposhinda kesi hadi kifo chake akiwa gerezani kwa mashitaka ya kutakatisha fedha?
Unajua kuwa alishawahi kumtibia Michael Jackson?
 
Yaani waswahili bana,eti CIA,yaani mtu anakurupuka tu na kusema fulani wamehusika bila kuleta vielelezo.Black gangs na Beefs za kijinga zinawamaliza sana Blacks.
Hivi kesi ya mauaji ya Tupac & biggie zilikuwa solved muuwaji alijulikana?mpaka leo....
Sawa yawezekana pia Kifo cha hyu kikawa gangrelated violence ....mambo cripps&blood
Ila watu wengi huko L.A wanasema Kifo chake ni non-related gang violence!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi wanasema?.Bila ushahidi,USA kila mtu anamiliki bunduki,Kma una beef na mtu anaweza kukuwasha tu.CIA wamuue kwa sababu tu ya kutangaza tiba ya Ukimwi ya asili?.Juz juzi kuna wagonjwa wa ukimwi walitibiwa wakapona USA,kwa nini wale ma Dr wasiuawe kma issue ni kuzuia dawa ya ukimwi isipatikane?.Maisha ya Blacks USA yana mambo mengi sana.
 
Especially Hawa wasanii kujingiza kwenye magangs na kuwa diss magangs wengine
Ukifatilia sana mambo hayo utakuta Tupac yalimponza baada ya death row kujaa wahalifu magang waliyokuwa na visasi na magang mengine
Mwisho wa siku lazima violence errupt

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee walitibiwa na pharmaceutical companies,na sio herbs medicine,uwe unaficha basi ujinga wako,sio lazima kila mtu ajue wewe ni mjinga japo una fake ID

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina evidence hao wagonjwa wamepona??? Au unaropoka baada ya kula maharage kwa mama ntilie??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukazitaja hizo gangs??? Au unaropoka tu???? Hizo gang zenyewe unazisoma google hata Marekani hujawahi fika foolish

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rip Nipsey. Najiuliza sana kwanini wasanii wengi wa hiphop wanauwawa kwa bunduki?! Huwezi sikia wasanii wa RNB, Pop nk wamepigwa risasi ila mostly ni wanahiphop.
RNB wanakesha kuimba mapenzi,Hip Hop wanaikosoa Serikali,sio kila anayeuawa na bunduki ni gang related violence, nyingine ni serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta habari,badala ya kuleta taarifa ya kifo nawe unaongeza udaku wa akina Shigongo,,eti inaaminika,eti inasemekana sijui CIA ndi wanahusika,nani kakwambia kama sio uzushi na udaku
Haya ndo matatizo ya kuzaliwa ktk familia ambayo baba anashinda kijiweni,halafu na unaezaliwa unakulia ktk vijiwe vya kahawa,
Huyu mleta habari nadhani atakuwa wa aina hiyo,
Habari za kunogesha nogesha zisizo na ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu kubwa ni blacks wanauana wao kwa wao,wala msiwasingizie CIA,ss waafrika ni hovyo kabisa,hovyoooo
Hata huku huku kwetu,waafrika wangapi wanaumiza wenzao ili kutetea makampuni ya weupe,
Viongozi wangapi wanateka na kuua na kuiba Mali za waafrika wenzao
Sisi ni aibu kwa ubinadamu,
Wanasema binadamu ni mfano wa Mungu sijui sisi ni mfano wa Mungu yupi ambao tunauana na kuua hata walemavu nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…