Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Jay Z ngoma zake nyingi anawaponda blacks wenzake kwamba waache kulalamika kama mnavyolalamika nyinyi huku bongo.RNB wanakesha kuimba mapenzi,Hip Hop wanaikosoa Serikali,sio kila anayeuawa na bunduki ni gang related violence, nyingine ni serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu unakuta uzushi kama huu kuna mtu kakomaa anawasimulia wenzake kijiweni.Duh.. ? Kwanini wasingemyanganya hizo dawa ili wapige manoti, na ilikuwa anatoa Documentary sio dawa au documentary ingesema dawa ....?,
Hizi conspiracy theories bila facts hazina tofauti na hadithi za Sungura na Fisi....
Hakuna utata wowote. Sema mitandao ina taarifa nyingi zisizo sahihiWengi wanadai kauwawa kutokana na hii documentary. Sijui kama kuna mwingine atagusa hii Documentary ya Dr Sebi kwa kuhofia kuuawa. Inadaiwa Dr Sebi aligundua dawa ya UKIMWI lakini akafariki katika mazingira yaliyojaa utata.
Duh kagusa maslahi ya watu naonaWengi wanadai kauwawa kutokana na hii documentary. Sijui kama kuna mwingine atagusa hii Documentary ya Dr Sebi kwa kuhofia kuuawa. Inadaiwa Dr Sebi aligundua dawa ya UKIMWI lakini akafariki katika mazingira yaliyojaa utata.
Jay z syo yule tena wa enzi za dead prezJay Z ngoma zake nyingi anawaponda blacks wenzake kwamba waache kulalamika kama mnavyolalamika nyinyi huku bongo.
Chukueni hatua punguze malalamiko.
Kwa hiyo we unaona ni gang related hapoWabongo ni wepesi wa kupokea taarifa ambazo hawana uhakika nazo na kuanza kuzifanyia upembuzi yakinifu na kuzitolea hukumu.
Halafu unakuta uzushi kama huu kuna mtu kakomaa anawasimulia wenzake kijiweni.
Wewe unaonaje ?
Ngozi nyeusi akili kisoda.kwanini asiendeleze hizo Dawa za mitishamba za kuuondoa kabisa UKIMWI kuliko kutengeneza Documentary ya Mauaji ya Dr Sebi
uanajua wenzetu vitu vyote vipo katika maandishi tofauti na sisi tunaoruka na ungo bila kuuhifadhi huu utaalam
Lete ngoma hizo,hapo Sasa ndo umeingia kwenye mdomo wa Chatu najua hip-hop ndani nje,huniambii chochote kuhusu newyork rap,lete nyimbo hizo maana album zote za Jay z ninazoJay Z ngoma zake nyingi anawaponda blacks wenzake kwamba waache kulalamika kama mnavyolalamika nyinyi huku bongo.
Chukueni hatua punguze malalamiko.
sikama huku tu wanavyokurupukaga na kila kitu kuwasingizia TISS ... ndio dunia yetu hii tunayoishi kwa sasaYaani waswahili bana,eti CIA,yaani mtu anakurupuka tu na kusema fulani wamehusika bila kuleta vielelezo.Black gangs na Beefs za kijinga zinawamaliza sana Blacks.
nasikia Nick Cannon kasema yu tayari kuifadhili imaliziweWengi wanadai kauwawa kutokana na hii documentary. Sijui kama kuna mwingine atagusa hii Documentary ya Dr Sebi kwa kuhofia kuuawa. Inadaiwa Dr Sebi aligundua dawa ya UKIMWI lakini akafariki katika mazingira yaliyojaa utata.
nasikia Nick Cannon kasema yu tayari kuifadhili imaliziwe
basi tusikilizie tuone kama na yeye ataondoka kwa staili ganiNi kweli kasema hivyo Mkuu.