TANZIA: Msanii Nipsey Hussle afariki dunia kwa kupigwa risasi

Akili za Jussie Smollet.
 
Alfredo Bowman ( Dr Sebi ) kawajambisha sana wazungu!

Michael Jackson alikuwa for long decades anatumia painkillers za wazungu kuzuia yale maumivu aliyoungua 1984 kwa tangazo la Pepsi....alivyomjua huyu mzee akaenda Honduras kutibiwa!

Mzee akampa mitishamba kibao iliyokwenda shule MJ akapona mpaka bipolar, Insomnia!

Basi wazungu wakaona biashara yao ya madawa huyu mzee anaitia gundu coz watu wengi America hasa blacks celebs walikuwa na ngoma na mzee anawatibu, mpaka wazungu kina Steve Seagal, Pierce Brosnan wameponeshwa na huyu babu!

Wazungu ( system) wakamfyekelea mbali kwa kumrushia gonjwa akiwa jail...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto mzuri kuliko wote duniani Lauren London jana kapagawa kinoma!...footage yake akirush hospital full kuchanganyikiwa!

Kawa mjane at 34

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Nipsey...your energy was real, everyone weeping for you.
 
Rip Nipsey. Najiuliza sana kwanini wasanii wengi wa hiphop wanauwawa kwa bunduki?! Huwezi sikia wasanii wa RNB, Pop nk wamepigwa risasi ila mostly ni wanahiphop.
Kuna yule dogo Xxxxtentacion nae alikuwa anadiss marapa wengine kama akina Drake

Katoka kupigwa chuma juzi wakamwibia na hela kwenye gari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana baada ya tukio celebrities wengi weusi walikuwa wakiandika kwenye insta page ya GF wake wakimpa pole na kumuomba awe strong. Wana mtoto mmoja na mrembo ni mrembo hasa na walikuwa wakipendana sana.
Yeah Lauren London yule dada ni mzuri sidhani kama kuna mwanamke mzuri kama yule dunia nzima!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna yule dogo Xxxxtentacion nae alikuwa anadiss marapa wengine kama akina Drake

Katoka kupigwa chuma juzi wakamwibia na hela kwenye gari

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah alipigwa shaba maeneo ya Deerfield Beach Florida. Alikua bwana mdogo sana. Imekua kama fashion flani hivi kwa marapper kufa kwa kupigwa risasi
 
Bila ya shaka Mkuu. Kafukua kaburi ambalo watenda dhambi hawakutaka lifukuliwe milele. Inatisha sana.
Na sio Doc tu..Nipse alikuwa anataka afungue Herbs store ili watu waendeleze libeneke la kutibiwa...mzungu hakuachi, uzuri na yeye alikuwa anajua kuwa hiki kitu chaweza kugharimu maisha yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwanini asiendeleze hizo Dawa za mitishamba za kuuondoa kabisa UKIMWI kuliko kutengeneza Documentary ya Mauaji ya Dr Sebi
uanajua wenzetu vitu vyote vipo katika maandishi tofauti na sisi tunaoruka na ungo bila kuuhifadhi huu utaalam
Alikuwa kwenye hiyo project pia but altaka awereness kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah alipigwa shaba maeneo ya Deerfield Beach Florida. Alikua bwana mdogo sana. Imekua kama fashion flani hivi kwa marapper kufa kwa kupigwa risasi
Yule dogo kauliwa kwa wivu lkn kitaa....watoto wa mama hawafanyi kazi ni vibaka tu kitaa, sasa wamekuwa na dogo kimasihara wanaona anatoboa!

Walifanya yale mauaji kishamba sana, ukicheki ile footage yao!

Wote wamedakwa first degree murder hata kujitetea unaanzaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo ni wepesi wa kupokea taarifa ambazo hawana uhakika nazo na kuanza kuzifanyia upembuzi yakinifu na kuzitolea hukumu.

Kwamba wabongo yaani watanzania hawana akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…