TANZIA: Msanii Nipsey Hussle afariki dunia kwa kupigwa risasi

kwanini asiendeleze hizo Dawa za mitishamba za kuuondoa kabisa UKIMWI kuliko kutengeneza Documentary ya Mauaji ya Dr Sebi
uanajua wenzetu vitu vyote vipo katika maandishi tofauti na sisi tunaoruka na ungo bila kuuhifadhi huu utaalam
Anataka mtelemko wa kupiga hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaropoka sana kama mwajuma ndala ndefu then hauna facts,Uzi wote huu wewe ndo unabonga non sense ndo maana jamaa kakuchana , you are a shit hole

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kule juu,huyu jamaa ndo ameanza ku talk shit baada ya sisi ku criticize alichokipost kwamba hakina ushahidi.Akaanza kutukama na kuita wau hawana akili.Sisi ni watu wastaarabu sana kama mtu akiongea kistaarabu,ukiongea bangi na wewe utapewa bangi tu.Jamaa ananitukania mpaka bi mkubwa angu kabisa as if anahusika hapa.Wewe unaona ni kawaida tu au sio?
 
Kwa Dr Sebi labda kama huna pesa...but kama unaumwa na una hela kwa yule mzee unapona!

Watu wengi wamepona kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayebisha kuwa alikuwa anatibu watu ila kusema kuwa jamaa ameuliwa kwa kuwa alikuwa anataka kutoa documentary ya Dr Sebi hapo ndio kwenye tabu kwa kuwa tangu kushinda kesi hadi kufa kwake ni zaidi ya robo karne. Wakati wa uhai wake alishindwa kuteteresha soko la madawa ya viwandani ndio angekuja weza mtoa documentary?
 
Ishu iko hivi mkuu...Dr Sebi walimuwekea kauzibe mbaya tu....kibaya zaidi, kesi akawa anashinda + evidence za watu kupona so ikabidi wamuwahi kabla mambo hayajawa makubwa!

Huyu Nipse alitahadharishwa kuwa awe makini na kitu anachotaka kufanya coz atauliwa, na ni mwaka Jana akajibu kuwa anajua atauliwa coz hakuna atakayedumu milele duniani...

Na kweli kavuta!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ametibu for more than 40 years na amekufa akiwa mzee kabisa, kwa nini hawakumuuwa akiwa kijana wamekuja kumuuwa wakati umri umeshakwenda?
 
ameshinda kesi gani zaidi ya kesi moja tu iliyomfanya kuwa maarufu? Kauzibe gani na ingali alikuwa anaendelea kutibu na kutoa miadhara.
 
Hii tabia iliyozuka huku Tanzania ya kuamini na kusema kila mwanasiasa ametekwa na TISS inawafanya muitumie kila mahali na kwa kila tukio hata kama hamna uthibitisho.

Ukiambiwa utoe uthibitisha utaishia niliona fulani anasema au niliona sehemu wameandika.

Maandiko yametuambia tuache kuhukumu, hatutahukumiwa.
 
Nipsey Hussle was a well known rapper/entrepreneur. He was gunned down yesterday outside of his clothing store in South Los Angeles. Him and two other men were shot in broad daylight. The gunman has not been identified and is still on the run. Police are still investigating. Nipsey was a well known gang member in Los Angeles, and has admitted in previous interviews to being a part of the Rollin 60’s Neighborhood Crips, one of Los Angeles' largest street gangs. It has not been confirmed whether this act of violence on his life is gang related, but many can make their own conclusion on his cause of death.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliekudanganya kuwa hao wazungu hawauani na hawaui watu nani ? Hizo silaha wanazotengeneza ni kwa ajili ya nani au nini ? Huku Afrika kuna viwanda vya silaha?
Rudia kusoma nilichoandika,
Au niweke koma kila baada ya neno ili utafakari na kuelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akasikilize wimbo wa The story of OJ, ape sh*t , niggaz in Paris na Empire state of mind.
 
Rudia kusoma nilichoandika,
Au niweke koma kila baada ya neno ili utafakari na kuelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu kubwa ni blacks wanauana wao kwa wao,wala msiwasingizie CIA,ss waafrika ni hovyo kabisa,hovyoooo, hayo maneno hujaandika wewe ? Au unaota , aliekuambia wazungu hawauani nani ? Wale wanaoenda kuuwa watu misikitini na mashuleni ni waafrika ? Cha kuwatukana waafrika wenzio ninini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…