Aliyekuwa mmiliki wa studio za Kiumbe video &Audio ambaye pia ni muimbaji na mtayarishaji wa muziki Abamto Valentino amefariki dunia akisa kwao ilala. Moja ya kazi alizowahi kufanya ni pamoja na "Acha Waseme" akishirikiana na Dogo Aslay.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amen.
VIDEO [emoji116]
Hatari sana mkuu.duh Huu mwaka hatari sana. R.I.P [emoji24]
Huyu si wa madawa?Wiki ya majanga hii na pia Big Boss amefariki naye.
Kwa taarifa kutoka kwa baadhi ya wasanii wenzake alikuwa anasumbuliwa na figo/ini.Huyu si wa madawa?