Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Aliyekuwa mmiliki wa studio za Kiumbe video &Audio ambaye pia ni muimbaji na mtayarishaji wa muziki Abamto Valentino amefariki dunia akiwa kwao ilala. Moja ya kazi alizowahi kufanya ni pamoja na "Acha Waseme" akishirikiana na Dogo Aslay.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amen.
VIDEO [emoji116]
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, amen.
VIDEO [emoji116]