Tanzia: Msanii wa Hiphop Osama Afariki Dunia

Tanzia: Msanii wa Hiphop Osama Afariki Dunia

Savimbi Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
6,818
Reaction score
9,183
Msanii wa hip hop kutoka Detroit Bryon Cox alias Dex Osama 26 usiku wa kuamkia Jana aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye ukumbi wa wadada wanaocheza uchi(strip club) Crazy Horse.

Dex Osama ndio alikuwa amesign tu juzi label ya Money Chaser DWMTM inayomilikiwa na Meek Mills.

Hata hivyo kundi lake la Chopper Boys(Vijana wa Bastola) wamesema watalipiza kisasi kwa waliohusika na mauaji hayo.
 
Ule ubabe wa kina 2pac wanataka kuurudisha tena enzi hzi!
 
wapo wataodhani ni bin laden according to your heAding
 
Back
Top Bottom