Nasoma huu uzi naisikia na wimbo wa harmonize sijui unaitwa hajanikomoa kama sikosei! Mwanzo kaanza vizuri saana, nimejikuta nimeurudia mara 3!
Kanikumbusha
Baba jay rest in peace hiki kichwa!
Juma mpogo r.i.p fundi, seven survivors kushiney malegea, kuna marehemu kak yangu alikuwa namba chafu mnoo alipachikwa jina la juma mpogo, nae kaishaenda mbele ya haki!
Omary omary! R.i.p fundi atomic sijui kama ipo tena
Jack simela- r.i.p
Sina budi kupekua mafaili yangu, nipate kukata kiu!
Asha eeh!! Mwambie kweli!!
Mpenzi kurusumu
Kaka usije mjini
Majaliwa
Ally Mwinyi hodari
Ajali,
Saidi Dabali
Oscar Mkoba
N.k n.k