TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Radio-cut.jpg

Mwanamuziki wa Nchini Uganda, Moses Sekibooga maarufu kwa jina la kisanii Mozey Radio afariki dunia

Mwanamuziki huyo alikimbizwa Hospitali ya Nsambya siku ya tarehe 23 Januari, 2018 baada ya kuanguka na kuvunjika shingo na fuvu la kichwa wakati akiwa kwenye ugomvi na mlinzi wa ukumbi mmoja wa starehe

Hata hivyo Hospitali hiyo haikuweza kumhudumua kutoka na kitengo cha wagonjwa mahututi kujaa ndipo msanii huyo alihamishiwa Case Clinic iliyopo Bungando Road JIjini Kampala

Maelfu ya watu waenda hospitali

Moja ya kazi zake
 
Alikuwa upande gani kisiasa? Alikuwa anakubaliana na kipengele cha katiba yao kinachopiganiwa kubadilishwa ili kuondoa ukomo wa utawala ama lah?
 
R.I.P ,, kwa hakika sote tutarejea kwake baba yetu ...dah kama utan yaan
 
Unaweza jiona mjanja kumbe mshamba,boya la maana. Siasa zenu za kumtakasa mtu anayeshabikia upinzan au anayeitukana serikali haziwasaidii katika safari ya milele.
Alikuwa upande gani kisiasa? Alikuwa anakubaliana na kipengele cha katiba yao kinachopiganiwa kubadilishwa ili kuondoa ukomo wa utawala ama lah?
Hujui huyo ni kioo cha jamii na anaweza kushawishi kundi kubwa la watu hasa vijana kuwa upande wake asioupenda mu7 na akawa kikwazo?
 
Back
Top Bottom