TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

Duh m7 si katoa 30m ya matibabu masikini,halafu mbona wanasema ni ajali ya gari hapa naona ugomvi wa bar???
 
Unaweza jiona mjanja kumbe mshamba,boya la maana. Siasa zenu za kumtakasa mtu anayeshabikia upinzan au anayeitukana serikali haziwasaidii katika safari ya milele.
True
 
Dah nimeumia sana na hii habari
 
kama kichwa cha habari kisemavyo, mwanamuziki maarufu wa uganda, Sekibogo Mosses maarufu kama Radio, amefariki dunia asubuhi ya leo kutokana na majeraha aliyoyapata kichwani kwenye ugomvi katika club moja ya usiku wiki moja iliyopita. Mwnamuziki huyo alipigwa na kitu kizito kichwani wakati ulipotokea ugomvi kati yake yeye na Baunsa wa ukumbi huo uliopo mitaa ya kololo mjini kampala. Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihidimiwe.AMEN
 
Back
Top Bottom