TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

TANZIA: Msanii wa Uganda, Moses Sekibooga a.k.a Radio afariki dunia

Haya..japo huu Uzi tayari upo mkuu[emoji1] [emoji1]
 

Mwanamuziki wa Nchini Uganda, Moses Sekibooga maarufu kwa jina la kisanii Mozey Radio afariki dunia

Mwanamuziki huyo alikimbizwa Hospitali ya Nsambya siku ya tarehe 23 Januari, 2018 baada ya kuanguka na kuvunjika shingo na fuvu la kichwa wakati akiwa kwenye ugomvi na mlinzi wa ukumbi mmoja wa starehe

Hata hivyo Hospitali hiyo haikuweza kumhudumua kutoka na kitengo cha wagonjwa mahututi kujaa ndipo msanii huyo alihamishiwa Case Clinic iliyopo Bungando Road JIjini Kampaka
Kwa tabia hiyo ya kwenda kufanya fujo club, wacha afe tu. Msanii ni Kiongozi, anatakiwa kuwa na tabia nzuri katika jamii, hata kama kacholozwa, kaonewa au kutukanwa hatakiwa kuchukua hatua mkononi, bali kwenda kutoa taarifa kwa Mamlaka husika.
 
Back
Top Bottom