SaidAlly
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 2,328
- 2,228
Kweli kabisa,yaap ndo yeye alikuwa anasauti ya ukwel
kwenye hiyo where you are - kuna mstari anaingia "rohoni, umenishika kishenzi, natamani tuwe wote right there....."
Dah! RIP.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa,yaap ndo yeye alikuwa anasauti ya ukwel
yaap ndio huyo lakini umenichekesha japo ni habari ya huzuniSi yule mwenye mzuzu kama chimumuna mkata suruali shehe?
R.I.P jamaa namkubali ana sauti bomba sana ya kuimba,naipenda ile nyimbo yao Bread and Butteryaap ndio huyo lakini umenichekesha japo ni habari ya huzuni
alipigwa na baunsa akavunjika shingoMillard ayo anasema ajali, clouds fm na Jf wanasema ugomvi, jaman tz sources zina kanganya.
ndio nahis itamuuma sanaKwenye hii album mpya ya Vanessa Mdee kuna ngoma moja wameshirikishwa itakuwa sad Sana kwa vanessa
ndo hivyo mkuu akapumzishwe alipoandaliwa makaziNgoma kama Ability na I can't let you go.Jamaa alizitendea haki sana alikuwa na sauti tamu kinyama.
RIP
aisee huku kumezizima kabisaR.I.P jamaa namkubali ana sauti bomba sana ya kuimba,naipenda ile nyimbo yao Bread and Butter
AMENImeniuma sana huyu jamaa. Apumzike kwa Amani