Alipata ajali mwezi uliopitaR.I.P.. Amepatwa na nini huyu mkali wa sauti?
Alipata ajari au akidundwa wakati anatoka clubR.I.P.. Amepatwa na nini huyu mkali wa sauti?
Niliona hiyo habari aisee,Aisee alikua na hali mbaya hadi museven alimchangia pesa,wanamuzik wenzie walikusanyika kwa maombi apone haraka. Rest well Moses
[emoji26] [emoji26]sasa hapa yamekujaje mkuu?Alikuwa upande gani kisiasa? Alikuwa anakubaliana na kipengele cha katiba yao kinachopiganiwa kubadilishwa ili kuondoa ukomo wa utawala ama lah?
Hujui huyo ni kioo cha jamii na anaweza kushawishi kundi kubwa la watu hasa vijana kuwa upande wake asioupenda mu7 na akawa kikwazo?[emoji26] [emoji26]sasa hapa yamekujaje mkuu?
Alikuwa upande gani kisiasa? Alikuwa anakubaliana na kipengele cha katiba yao kinachopiganiwa kubadilishwa ili kuondoa ukomo wa utawala ama lah?
Hujui huyo ni kioo cha jamii na anaweza kushawishi kundi kubwa la watu hasa vijana kuwa upande wake asioupenda mu7 na akawa kikwazo?