Mose alikuwa na tatizo kubwa la ugomvi na uchokozi, ana makesi kibao kampala, last year kuna radio host anaitwa kasuku alimtabiria kifo baada ya mose kuvamia party na kutupa laptop ya dj kwenye swimming pool ,jamaa aliwaomba wasikilizaji warekodi kabisa, akasema...mose akiendelea na tabia yake hii kuna siku atapigwa kichwa kipasuke ana atakufa..sasas imetokea kweli...back to the issue ya entebe...
Mose alikuwa anatoka na washkaji zake kuangalia ujenzi wa nyumba yake entebe akamuu kupita hapo de bar kunywa,akamzengua meneja kwamba hana uwezo wa kumnunulia black bottle belaire..meneja akakasirika akamnunulia bottle moja jamaa akafungua kwa dharau akammwagia mteja aliyekuwa anajinywea zake,ndipo vurugu zilipoanza