Tanzia: Msanii wa vichekesho, "KIinyambe" afariki dunia huko Mbeya

kizeze

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
316
Reaction score
337

Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.

Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitisha kuwa, msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James Nsemwa, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.

 
Mwigizaji maarufu aloyejizolea sifa kwa uigizaji wake wa kipekee almaarufu kama kinyambe amefariki usiku huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…