Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Duh!kwema lakini dada yangu kipenzi?Sasa unataka watu wasemeje au waweke Emoji za kulia ndo utaona wameguswa?
Apumzike kwa Amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!kwema lakini dada yangu kipenzi?Sasa unataka watu wasemeje au waweke Emoji za kulia ndo utaona wameguswa?
Apumzike kwa Amani
uko sawa kabisa. kazi ya Mungu haina makosa.Omboleza taratibu, usikufuru.
Ukaribu wa kifo na mwanadamu ni zaidi ya unyayo wake sori ya kiatu chake.......maisha ya mwanadamu ni mafupi sana kama mshumaa kwenye upepo mkali.....hakuna ajuaye hata nukta ya wakati wake ujao.......tunakula ,tunapumua, tunalala ,tunaamka, tunaendesha vyombo vya moto, tunapanga mipango ya muda mrefu kwenye maisha yetu....yote haya tunayafanya si kwa ujanja wetu bali ni kwa NEEMA TU....
Wanadamu tuishi kwa UPENDO NA AMANI ILI TUWE NA MWISHO MZURI......
Kuna movie yaitwa Jack:The Giant Slayer,Ningweitwa kwenye wimbo wa kumuimbia bro verse zangu zingekuwa
DaaDaah kifo kifo we ulitoka wapi
Kwanin usife we wanadamu tukaparty
Hauko smart
Kibinadamu nahisi kinyambe hakuwa huu wake wakati
Anyway r.I.p kinyambe mbele yako nyuma Yetu hakuna duniani atayebak
pananifurahishaga sana pale. tukirudi msibani, japo sipendagi wachekeshaji wageuza sauti na sura kinyambe nilimpenda. alikuwa na punchline za hatari na mbunifu. RIP.Kuna movie yaitwa Jack:The Giant Slayer,
Kuna kipande flani hivi nimekikumbuka.
Askari watatu wakiwa huko juu wawili wakamsukuma mwenzao kwenye maporomoko, akapiga kelele sana,
Askari mmoja akamuuliza mwenzie huku anacheka,
"kwanini watu wakitaka kufa mpaka wapige kelele? Wanadhani kufanya hivyo ndio...."
Mara kadakwa yeye na Giant, wacha aanze kupiga kelele mwenzake amsaidie, kelele zake hazikumsaidia akatafunwa.
Dont pay attention, nilikua nahamu ya kutype tuuuu.[emoji4] [emoji4]
Ni mawaidha kwa tuliobaki,pananifurahishaga sana pale. tukirudi msibani, japo sipendagi wachekeshaji wageuza sauti na sura kinyambe nilimpenda. alikuwa na punchline za hatari na mbunifu. RIP.