Tanzia: Msanii wa vichekesho, "KIinyambe" afariki dunia huko Mbeya


Daaaaaah

Umeandika vitu vyenye maana sana .
 
Apumzike kwa amani, ALIKUWA KATI YA WASANII WACHACHE SANA WA COMEDY NILIOWAKUBALI KWA KUNILIWAZA
 
Ningweitwa kwenye wimbo wa kumuimbia bro verse zangu zingekuwa
DaaDaah kifo kifo we ulitoka wapi
Kwanin usife we wanadamu tukaparty
Hauko smart
Kibinadamu nahisi kinyambe hakuwa huu wake wakati
Anyway r.I.p kinyambe mbele yako nyuma Yetu hakuna duniani atayebak
 
Kuna movie yaitwa Jack:The Giant Slayer,

Kuna kipande flani hivi nimekikumbuka.
Askari watatu wakiwa huko juu wawili wakamsukuma mwenzao kwenye maporomoko, akapiga kelele sana,
Askari mmoja akamuuliza mwenzie huku anacheka,
"kwanini watu wakitaka kufa mpaka wapige kelele? Wanadhani kufanya hivyo ndio...."

Mara kadakwa yeye na Giant, wacha aanze kupiga kelele mwenzake amsaidie, kelele zake hazikumsaidia akatafunwa.

Dont pay attention, nilikua nahamu ya kutype tuuuu.[emoji4] [emoji4]
 
pananifurahishaga sana pale. tukirudi msibani, japo sipendagi wachekeshaji wageuza sauti na sura kinyambe nilimpenda. alikuwa na punchline za hatari na mbunifu. RIP.
 
wasanii wetu wajifunze kuigiza/chekesha bila kujibadilisha nyuso
 
pananifurahishaga sana pale. tukirudi msibani, japo sipendagi wachekeshaji wageuza sauti na sura kinyambe nilimpenda. alikuwa na punchline za hatari na mbunifu. RIP.
Ni mawaidha kwa tuliobaki,
Je tumejipangaje na safari ya huko?

Hapa tu naelekea msibani, kijana kaja kumuuguza baba ake wa taabani,
Baada ya siku 3 tangu afike, jana akakohoa, akatapika damu na kufa papo hapo.

Baba amefichwa kua mwanae hayupo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…