Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,790
- 3,263
R.I.P yp...jamaa alikua na ngoma demu wake alishafariki.
mmhhhhhhh ?!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P yp...jamaa alikua na ngoma demu wake alishafariki.
sijakuelewa kabisa.Tetes ni kwamba msanii wa bongo frever YP nikweli? mlioko temeke mtujuze,na alikuwa anaumwa nini!
Souce-mitandao ya kijamii.
Ndio nani huyo!!!! RIP
R.I.P yp...jamaa alikua na ngoma demu wake alishafariki.
Ndio nani huyo!!!! RIP
Umeanza na wewe, hiyo Rest in Peace inatosha, kama humjui kuwa mpole, aya umeamkaje binamu? Naona siku izi jukwaa habar ya mjini ni baba ubaya ata nafas ya kutoa ubuyu mwingine hakuna
unaniangusha ujue
YP,Y DASH,PINGU NA DESO
RIP
R.I.P yp...jamaa alikua na ngoma demu wake alishafariki.
Hhhjjaaaaaaaa, kumbe huyoo binamu naona habari za domo zimekubana hatareeee hhhhhhaaaaaaaaaaa
Bina toa tu maubuyu wachangiaji wapoo hhhhhaaaaaa