Tanzia: Msanii YP wa kundi la 'Wanaume TMK' afariki dunia

Ndio nani huyo!!!! RIP

Umeanza na wewe, hiyo Rest in Peace inatosha, kama humjui kuwa mpole, aya umeamkaje binamu? Naona siku izi jukwaa habar ya mjini ni baba ubaya ata nafas ya kutoa ubuyu mwingine hakuna
 
Hhhjjaaaaaaaa, kumbe huyoo binamu naona habari za domo zimekubana hatareeee hhhhhhaaaaaaaaaaa
Bina toa tu maubuyu wachangiaji wapoo hhhhhaaaaaa
 
Nashangaa mwambie binamu alete ubuyu
halafu naskia kuna miss tz party two jumamosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…