TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

mkuu! Hebu usiondoke kwanza,naomba utuelezee kisa kizima ili iwe funzo kwetu! Tafaadhali!
 
Inasikitisha jamani!
Mola atuhurumie kwa kweli
 
Asante tushapoa.
Alikuwa anaumwa figo na athma.
Ila walifanya siri nasikia mpaka Milly alipoamua kumpost katika page yake ndio habari zikawa wazi.
Too young to die.
Ooh maskini katoto ka watu
 
Casto sio baba mzazi wa Patrick
Baba wa Pat anaitwa Peter.
Mume wa awali wa Rose (Muna).
Na ndio maana Casto hakuwa attention na ugonjwa wa 'mwanae'
 
Ndio hivyo, kifo hakichagui umri, rangi, kabila, utaifa....R.I.P dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…