Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Mimi Hata sijui wanasema miguu ilikuwa inapooza.Jomoni.huyu dogo aliumwa nini hivi jamani
Nalia tu hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi Hata sijui wanasema miguu ilikuwa inapooza.Jomoni.huyu dogo aliumwa nini hivi jamani
Nalia tu hapa
mkuu! Hebu usiondoke kwanza,naomba utuelezee kisa kizima ili iwe funzo kwetu! Tafaadhali!Fundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
Hakupata chanjo ya polio?Mimi Hata sijui wanasema miguu ilikuwa inapooza.
Inasikitisha jamani!Fundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
Asante tushapoa.Poleni.aliumwa nini madam? Ajali ama?
Ooh maskini katoto ka watuAsante tushapoa.
Alikuwa anaumwa figo na athma.
Ila walifanya siri nasikia mpaka Milly alipoamua kumpost katika page yake ndio habari zikawa wazi.
Too young to die.
NenoHaya mambo yaskie kwingine tu
Casto sio baba mzazi wa PatrickFundisho dogo sana tunalipata kupitia huyu mtoto kwamba
1.ugomvi wa baba na mama usimuhusu mtoto......
2.matatizo ya familia hayatatuliwi mitandaoni....
3.Usitake kumkomoa mzazi mwenzako kwa kupitia mtoto...
4.Wanaume tusiwe shamba wa mapenzi kisa umepata msichana unayedhani kuwa ni mzuri na maarufu ukasahau hadi mwanao kisa tu unakula bata na huyo malaya
5.Castro na Muna ni Was.enge ugomvi wao umepelekea kifo cha mtoto wao kizembe sana
6.Wanawake/Wanaume wa mitandaoni sio wa kuoa au kuolewa nao hawana family ethics...
7......ongezea.....
We acha tu.Ooh maskini katoto ka watu
Maskini ,au hakupata chanjo ya polio?We acha tu.
Nasikia alianza kupooza.
Ila waja tuna mambo.
Ngoja tutasikia mengi sana mwili ukirudi toka Nairobi
Sijajua kwa kweli.Maskini ,au hakupata chanjo ya polio?
DuhCasto sio baba mzazi wa Patrick
Baba wa Pat anaitwa Peter.
Mume wa awali wa Rose (Muna).
Na ndio maana Casto hakuwa attention na ugonjwa wa 'mwanae'
aAsante tushapoa.