TANZIA: Mtoto wa Rose Nungu (Munalove) Patrick Peter Zacharia Komu (Partsmartboy) Afariki dunia

Duh!...Rest in Peace Angel!...tukumbuke watoto wetu nao wana haki zao, tusilazimishe nao kuingia katika ulimwengu wetu wa ki "super star" kabla.majira yao hayajafika!
Kweli kabisa mkuu huyo dogo inaonyesha angejakuwa mtata sana kunako ulimwengu wa mapenzi
 
Pole Sana Muna Luv kwa Kumpoteza Mtoto.
--Ila Muna amepitia changamoto nyingi sana na Marehemu mwanawe.....Huyo Dogo alikuwa anaijua dini sana na akaokoka.
-Ugonjwa wa figo kwa mtoto mdogo,chanzo ni nini?
 
Kinachonishangaza ni jinsi ambavyo watanzania wamekua busy kupost picha za mtoto huyu kwenye mitandao na kuonesha majonzi makubwa ili hali ndugu zao/marafiki wa karibu wanapougua au kupoteza maisha hua hawapost au kuumia kiasi hichi!

Huu sio ulimbukeni?

Pole kwa wafiwa na Mungu awatie nguvu
 
Duh!...Rest in Peace Angel!...tukumbuke watoto wetu nao wana haki zao, tusilazimishe nao kuingia katika ulimwengu wetu wa ki "super star" kabla.majira yao hayajafika!
Nini kilitokea?
 
Ameumwa muda mrefu. Apumzike kwa amani. Muna kila nikimuwaza anachopitia sasa hivi mwili unasisimka. Namuombea kwa Mungu ampe faraja katika kipindi hiki kigumu cha maisha yake. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe.
 
R.I.P mtoto mdogo,umeitwa ungali mdogo Pepo ni yako naamini Mungu hilo yupo radhi nalo...

Samahani wakuu out of topic,huyu Munalove ninani na yupo ktk tasnia gani bongo?
 

Hivi ule uvumi kuwa hakuwa mtoto wake upo vipi?
 
Hawa ndiyo watanzania halisi mkuu
 
Natoa pole kwa wafiwa wote.

Lakini kila kitu ni upuuzi mtupu.
Sijaona cha maana au cha msingi cha kufanya kifo cha huyo mtoto kuwa story za kuvuma mitandaoni. Ni ulimbukeni mtupu.

Huyo mtoto ni nani?
Wazazi wake ni wakina nani?
Kuna kitu gani so special kumhusu huyo mtoto au wazazi wake?
 
Mbona watu wanapostigi picha za watoto wanauliwa Syria na maneno Pray for Syria hamuwasemi. Cha maana kipo sababu amepigania maisha yake muda mrefu aliacha mpaka shule. Kwa umri wake mdogo kutoka kutembea kwa miguu yake miwili mpaka kutembelea baiskeli lazima iguse watu wazima.
 
Ulimbukeni wa kiwango kikubwa sanaaaa tena kiwango cha rami..... Sijui kama muna yeye atakuja kuwapost hao....si unajua shobo mzee baba
 
R.I.P mtoto mdogo,umeitwa ungali mdogo Pepo ni yako naamini Mungu hilo yupo radhi nalo...

Samahani wakuu out of topic,huyu Munalove ninani na yupo ktk tasnia gani bongo?
Tasnia ya bongongada kundi moja na petii man wakuache na wema sepetu...japo alijiingiza kwenye dini baada ya kuona mambo yako hovyo.. Na mtoto dalili ya kupona ilokua hainokeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…