Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Aise alikuwa mrembo kweli;
Jana mumewe aliongea kwenye tv mawingu
alikuwa analia kama mtoto mdogo;

Kweli kifo hakina huruma,

Mungu mpokee Rachel pamoja na mtoto wake mchanga.
 
Msanii maarufu wa filamu nchini, Irene Pancras Uwoya, amejikuta akipoteza fahamu uwanja wa leaders ambapo mwili wa marehemu Rachel Saguda ulipokuwa ukiagwa.

 

Attachments

  • 1401359849231.jpg
    42.7 KB · Views: 3,265
Msanii maarufu wa filamu nchini, irene pancras uwoya, amepojikuta akipoteza fahamu uwanja wa leaders ambapo mwili wa marehemu rachel saguda ulipokuwa ukiagwa.

Alisha fanyia mazoezi hii Kitu... Simpi pole
 
Alisha fanyia mazoezi hii Kitu... Simpi pole

Mi nilijua atazimia saguda kapoteza mke na mtoto au yule rafik yake sana odama waliyebeba wote mimba, kaja kuzimia mwingine kweli life is full of surprises expect unexpected..
 
Alisha fanyia mazoezi hii Kitu... Simpi pole

Huyu ndo alikuwa rafiki yake sana na marehemu, anaitwa odama, hadi mimba walibeba wote, yeye sijasikia kuzimia ,naona uwoya kaguswa sana..
 

Attachments

  • 1401362029685.jpg
    29.9 KB · Views: 1,437
wabongo wana mambo mtu kazimia halafu macho anayaminya yasifunguke! lakini hakuna cha ajabu ameitendea haki fani yake ya uigizaji.
 
Jamani kuzimia ! tumeumbwa tofauti sana Daaaaa! ....Mwanga Wa Milele Umuangazie Recho Ehee Bwana ....Apumzike kwa Amani .... ....Sote Tu Mavumbi Na Mavumbini Tutarejea No Way Out ! :amen:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…