Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Mi simjui rachel zaid ya kwenye tv but i cried wen i heard the news.Kwa sababu kufa kwa uzazi ni ishu nzito sana afu inaumza.Binamu uliadimika

Busy busy kidog binamu, but ntarud soon mazima na vitu hooot
 
Mi siwaamini bongo movie kabisa unaweza ukadhani alizimia kumbe yuko kwenye kitengo chake.
 
Binamu warumi jukwaa litakufa rudi bwana...

Halafu Una kesi kubwa sanaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom