Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Mi simjui rachel zaid ya kwenye tv but i cried wen i heard the news.Kwa sababu kufa kwa uzazi ni ishu nzito sana afu inaumza.Binamu uliadimika
Huyu ndo alikuwa rafiki yake sana na marehemu, anaitwa odama, hadi mimba walibeba wote, yeye sijasikia kuzimia ,naona uwoya kaguswa sana..