Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Hahhhhha sasa ukizipata namba unaanzaje kuwapigiaa,au watsapp unarusha picha au hebu nipe teknik zako

Technik nitakupa nikishaziapply na kufanikiwa.. kuanza mbona rahisi tu....na nikianza hachomoki MTU...
 
Hyo hata mi nnayo

Nina # za john komba, bernard membe, ridhiwan, mnyika, shigongo, rommy jones, martim kadinda, dimpoz, babu tale, baba loraa, haidery kavira na wengine, sasa chagua mmoja apo
 
Nina # za john komba, bernard membe, ridhiwan, mnyika, shigongo, rommy jones, martim kadinda, dimpoz, babu tale, baba loraa, haidery kavira na wengine, sasa chagua mmoja apo

Miye nitumie na wengine
 
Huyu ndo alikuwa rafiki yake sana na marehemu, anaitwa odama, hadi mimba walibeba wote, yeye sijasikia kuzimia ,naona uwoya kaguswa sana..

aluuu, kumbe odama naye mama kijacho
 
Huyu mdada anapenda show off kha yani kila kitu kwake ni kuigiza
 
Ila msiba ni ishu nyingine kbs.Pole Irine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…