Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

aluuu, kumbe odama naye mama kijacho

Aliiliimarehemuuu analili alioshea naenabibie m nimeenda kipunguni juzi wanawakewanalia niwazuri tu mkewebmarehemu kaliakayalliza

Kuuliza naambiwa jamaa wanaliabaadayakujuana marafiki wamepitiwakama njugu billakujua na jamaa
Usiniulize zaidi
Heshimu ndoa Yako

Kibonde mnamwona katuni sikiyasiku anakumbukwa milele
 

Heeee hata sijakuelewaaa warumi hebu njoo unieleweshe alichokiandika Pdidy
 
Last edited by a moderator:

ha aha aha aha aha aahahha

PDD uko sahihi kabisaa

michepukooooo kho kho kho
 

Shimbonyi shafoo mbe! Riwa naamini tatizo kubwa lipo kwa nyie wahudumu wa afya...halafu ndio vitanda na vifaa....lakini tatizo kubwa ni nyie...inabidi mbadilike kwa kweli
 
Kitu kifanyike juu ya elimu ya uzazi na afya ya uzazi, tuokoe watoto wetu na wake zetu.

Hili suala la vifo vya mama na mtoto naona linakuwa sugu, nini kifanyike?

Inaumiza sana, R. I. P Rachel.
 
Shimbonyi shafoo mbe! Riwa naamini tatizo kubwa lipo kwa nyie wahudumu wa afya...halafu ndio vitanda na vifaa....lakini tatizo kubwa ni nyie...inabidi mbadilike kwa kweli

Fafanua basi..kivipi? Sikatai kuwa wahudumu wa afya wanachangia, lakini fafanua ueleweke kabla ya kunyoosha kidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…