Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Mtoto wa kingoni amekwenda na utamu wake maskini. Kweli dunia tunapita.

Kapumzike kwa amani bidada Rachel Haule.
 
RIP Rachael Haule, mtoto wa Songea...Johanesburg Bar Sinza Mori watakumiss sana.....
 
Kifo kweli tunatembea nacho i saw her last week maeneo ya sinza makaburini na ujauzito wake....R.I.P
 
Ee mungu tusaidie jaman nimesikia mwili wote umesisimka
 

So judgemental
Dhambi ni nini na kutubu ni nini.....are you sure hata wewe kwa kusema hujatenda dhambi? Shameless.....
 

acha kulopoka tu sema tu masirahi ya wafanyakazi yaboreshwe tu kwa wote mfano magereza wakigoma wafungwa wakarudi uaraiani kutachimbika tu uhamiaji yakagoma mabokoharamu siyatakuja kutafuta bikira walimu usiseme
 
Mungu amuweke pahala anapostahili na amlipe stahiki yake.
 
Mwenyezi Mungu ampe haki yake kwa aliyotenda hapa duniani kwa mujibu wa sheria na taratibu za maisha alizoweka....R.I.P sijui nini hizo zote mbwembwe tu..!! Kwanza alikuwa ananitia majaribuni "Ole wake yule mtu amtiaye mwenzake majaribuni....ni heri mtu huyo akafungwa jiwe na kutoswa baharini"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…