Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

RIP Rachel Haule wa kiume!!!!!!!!!

Tiba
 
Vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyotokana na uzazi...I don't think we are doing enough to reduce them! Sasa kama Dar hapa mtu maarufu anafariki kwa uzazi na hospitali zote zipo hizi...je mke wa 'mlalahoi' vijijini ndani ndani huko atapona!? Nini wajibu wetu na sisi wanaume!? Tupo tupo tu..wake/dada/shangazi/binti zetu wanakufa tu! RIP Recho.
 
RECHO AFARIKI: Msanii Rachel Haule 'Recho' afariki asubuhi hii Muhimbili Hosp, Dar baada kujifungua kwa upasuaji. Mtoto alifariki jana, Bongo Movie yathibitisha
. Mungu atunusuru na hivi vifo vya wamama/watoto wakati wa kujifungua jamani!!!:crying:
 
Weka pichaa hebu

images
 
Vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyotokana na uzazi...I don't think we are doing enough to reduce them! Sasa kama Dar hapa mtu maarufu anafariki kwa uzazi na hospitali zote zipo hizi...je mke wa 'mlalahoi' vijijini ndani ndani huko atapona!? Nini wajibu wetu na sisi wanaume!? Tupo tupo tu..wake/dada/shangazi/binti zetu wanakufa tu! RIP Recho.

your wrong kifo akina umaarufu wala kabwela kudanja ni kudanja tu
 
kweli binadamu maisha yetu ni mafupi sana ila huwa tunaishi kwa kujisahau mno, tunaishi kwa mazoe lakin lait tungekuwa tunakitafakari kifo na tuendako baada ya hapo tungekuwa watu tofauti, manake nimemwangalia huyo dada na hizo picha zake za uchi nikawaza sahiz kashakutana na muumba wake, sijui alipata nafasi ya kutubu au vipi eeh Mungu tusaidie
 
Vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyotokana na uzazi...I don't think we are doing enough to reduce them! Sasa kama Dar hapa mtu maarufu anafariki kwa uzazi na hospitali zote zipo hizi...je mke wa 'mlalahoi' vijijini ndani ndani huko atapona!? Nini wajibu wetu na sisi wanaume!? Tupo tupo tu..wake/dada/shangazi/binti zetu wanakufa tu! RIP Recho.

Umaskini ndiyo unaochangia vifo vingi vya akina mama na watoto.. Hospitali zetu hazina vifaa vya kutosha...
 
Mmmh jaman mbona mungu anachukua walio wazuri tu?? Aaah! R.i.p Recho !!
 
[h=3]Vifo Vya Uzazi Havikubaliki ......Rest In Peace Recho[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Halafu mbona siku hizi operation zimekuwa common sn nini tatizo? yani mkeo akifika hosptl akisumbua kidogo tu tayar wanakwambia sign hapa,KULIKONI?

Nilimpoteza rafiki yng mwaka jana pale Lugalo, Jesca daaa kama utani vile.RIP dada Recho na my best Jesca.
 
Back
Top Bottom