Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Mods unganisha huu uzi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Mungu atunusuru na hivi vifo vya wamama/watoto wakati wa kujifungua jamani!!!:crying:RECHO AFARIKI: Msanii Rachel Haule 'Recho' afariki asubuhi hii Muhimbili Hosp, Dar baada kujifungua kwa upasuaji. Mtoto alifariki jana, Bongo Movie yathibitisha
Vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyotokana na uzazi...I don't think we are doing enough to reduce them! Sasa kama Dar hapa mtu maarufu anafariki kwa uzazi na hospitali zote zipo hizi...je mke wa 'mlalahoi' vijijini ndani ndani huko atapona!? Nini wajibu wetu na sisi wanaume!? Tupo tupo tu..wake/dada/shangazi/binti zetu wanakufa tu! RIP Recho.
nimekosea kuapload wakuu hyo picha hapo juu
RIP Recho
Vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyotokana na uzazi...I don't think we are doing enough to reduce them! Sasa kama Dar hapa mtu maarufu anafariki kwa uzazi na hospitali zote zipo hizi...je mke wa 'mlalahoi' vijijini ndani ndani huko atapona!? Nini wajibu wetu na sisi wanaume!? Tupo tupo tu..wake/dada/shangazi/binti zetu wanakufa tu! RIP Recho.
mkuu edit basi umtoe mjomba
R.i.p.