R.I.P. Recho. mia
When it comes to death, there are no escapes, no coincidences, Once its ur time u will die no matter what! uwe maarufu, tajiri, masikini n.k. the only thing that can defeat death is the everlasting life, TAFAKARI!Vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyotokana na uzazi...I don't think we are doing enough to reduce them! Sasa kama Dar hapa mtu maarufu anafariki kwa uzazi na hospitali zote zipo hizi...je mke wa 'mlalahoi' vijijini ndani ndani huko atapona!? Nini wajibu wetu na sisi wanaume!? Tupo tupo tu..wake/dada/shangazi/binti zetu wanakufa tu! RIP Recho.
rip recho.ila mi nauliza,jamani jumanne Ina nn?mbona ndo cku wanaondoka na hata maziko hufanyika cku hiyo?
picha zake mbona za uchi uchi...ila hayanihusu...REST IN PEACE
Naomba kuuliza huyo Rachel alikuwa ameolewa??....
RIP Rachael Haule, mtoto wa Songea...Johanesburg Bar Sinza Mori watakumiss sana.....
ndo ujue kifo hakichagui, masikini na matajiri wote tutakufa, hivyo yatupasa kutenda yaliyo mema ili tutakapokufa yaigwe na waliobaki!R.I.P Recho :wave:Vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyotokana na uzazi...I don't think we are doing enough to reduce them! Sasa kama Dar hapa mtu maarufu anafariki kwa uzazi na hospitali zote zipo hizi...je mke wa 'mlalahoi' vijijini ndani ndani huko atapona!? Nini wajibu wetu na sisi wanaume!? Tupo tupo tu..wake/dada/shangazi/binti zetu wanakufa tu! RIP Recho.
Ben yupo bize kumtoa shettani ccm kwenye pan go la kijani LumumbaId yako inanikumbusha zilipendwa wangu dear kutoka moyoni Ben Saanane....... CCM sijui wamemfanyaje.
Hiki chama kipigwe mawe tu
RECHO
AFARIKI: Msanii Rachel Haule 'Recho' afariki asubuhi hii Muhimbili
Hosp, Dar baada kujifungua kwa upasuaji. Mtoto alifariki jana, Bongo
Movie yathibitisha
===
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia
usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
Dar es Salaam. Habari zilizotufikia na kuthibitishwa na Mwenyekiti wa
Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili
jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na
yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi
kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.
Kifo cha Recho kimekuja ndani ya wiki moja baada ya kufariki kwa
msanii mwingine wa Bongo Movi Adam Kuambiana Jumamosi iliyopita.
"Vifo hivi vya wasanii wetu, vimeleta mstuko mkubwa kwenye tasnia ya
ya filamu za kibongo."
"Habari zaidi zitawajia baadaye..."
Naomba kuuliza huyo Rachel alikuwa ameolewa??....
your wrong kifo akina umaarufu wala kabwela kudanja ni kudanja tu
Ben yupo bize kumtoa shettani ccm kwenye pan go la kijani Lumumba