Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Nimeumia kama aliyekufa ni ndugu yangu,jamani UZAZI MTIHANI NA JIHAD KWA MWANAMKE.
 
attachment.php

R.I.P. Recho. mia

ila kilikuwa chuma
 
Vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyotokana na uzazi...I don't think we are doing enough to reduce them! Sasa kama Dar hapa mtu maarufu anafariki kwa uzazi na hospitali zote zipo hizi...je mke wa 'mlalahoi' vijijini ndani ndani huko atapona!? Nini wajibu wetu na sisi wanaume!? Tupo tupo tu..wake/dada/shangazi/binti zetu wanakufa tu! RIP Recho.
When it comes to death, there are no escapes, no coincidences, Once its ur time u will die no matter what! uwe maarufu, tajiri, masikini n.k. the only thing that can defeat death is the everlasting life, TAFAKARI!
 
rip recho.ila mi nauliza,jamani jumanne Ina nn?mbona ndo cku wanaondoka na hata maziko hufanyika cku hiyo?
 
rip recho.ila mi nauliza,jamani jumanne Ina nn?mbona ndo cku wanaondoka na hata maziko hufanyika cku hiyo?

Really? Eeh hata my dad died on Tuesday... RIP my beloved dad...

Rip Rachel
 
picha zake mbona za uchi uchi...ila hayanihusu...REST IN PEACE
 
Vifo vya kina mama na watoto wachanga vinavyotokana na uzazi...I don't think we are doing enough to reduce them! Sasa kama Dar hapa mtu maarufu anafariki kwa uzazi na hospitali zote zipo hizi...je mke wa 'mlalahoi' vijijini ndani ndani huko atapona!? Nini wajibu wetu na sisi wanaume!? Tupo tupo tu..wake/dada/shangazi/binti zetu wanakufa tu! RIP Recho.
ndo ujue kifo hakichagui, masikini na matajiri wote tutakufa, hivyo yatupasa kutenda yaliyo mema ili tutakapokufa yaigwe na waliobaki!R.I.P Recho :wave:
 
ameigiza movie gani ili tumkumbuke kwa haraka zaidi???
Rechol-Haule.jpg

RECHO
AFARIKI: Msanii Rachel Haule 'Recho' afariki asubuhi hii Muhimbili
Hosp, Dar baada kujifungua kwa upasuaji. Mtoto alifariki jana, Bongo
Movie yathibitisha

===
Msanii wa Bongo Movie, Rachel Haule 'Recho' (pichani), amefariki dunia
usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini
Dar es Salaam. Habari zilizotufikia na kuthibitishwa na Mwenyekiti wa
Bongo Movie, Steve Nyerere, zimesema kuwa Recho alikwenda Muhimbili
jana kujifungua ambapo mara baada ya kujifungua mtoto alifariki na
yeye hali yake kuwa mbaya, ilibidi ahamishiwe ICU ambako hali ilizidi
kuwa mbaya na baadae kufariki dunia.

Kifo cha Recho kimekuja ndani ya wiki moja baada ya kufariki kwa
msanii mwingine wa Bongo Movi Adam Kuambiana Jumamosi iliyopita.

"Vifo hivi vya wasanii wetu, vimeleta mstuko mkubwa kwenye tasnia ya
ya filamu za kibongo."

"Habari zaidi zitawajia baadaye..."
 
R.I.P RECHO.
Ukweli tutakumiss japo tupo njia moja
 
Ikiwa imepita wiki moja tu tangu tasnia ya filamu kuondokewa na muigizaji maarufu marehem Adam Philiph Kuambiana,tasnia hiyo imepata pigo tena baada ya kuondokewa na msanii mwingine Recho usiku Wa kuamkia leo
 
Bwana alitwaa alitoa na Bwana ametwaa, jina lake lihumidiwe.
 
Back
Top Bottom