FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Id yako inanikumbusha zilipendwa wangu dear kutoka moyoni Ben Saanane....... CCM sijui wamemfanyaje.
Hiki chama kipigwe mawe tu
Imeniumiza sana Jamani RIP Rachel
Hadi Nimemkumbuka member mwenzetu Chetuntu aliyefariki akiwa anajifungua .
Akina mama tunakazi jamani ,,EEH Mungu tupiganie
Vick kamata anaendeleaje mdau?
ndo ujue kifo hakichagui, masikini na matajiri wote tutakufa, hivyo yatupasa kutenda yaliyo mema ili tutakapokufa yaigwe na waliobaki!R.I.P Recho :wave:
kwa nini wewe ndio ulietuma?
Hujanielewa na wala sijamuhukumu mtu na hakuna sehemu ambayo nimesema kwamba mimi sina dhambi, ila inaonekana imekuuma sababu na wewe ndo wale wale
Halafu mbona siku hizi operation zimekuwa common sn nini tatizo? yani mkeo akifika hosptl akisumbua kidogo tu tayar wanakwambia sign hapa,KULIKONI?
Nilimpoteza rafiki yng mwaka jana pale Lugalo, Jesca daaa kama utani vile.RIP dada Recho na my best Jesca.
Kifo kuwa hakichagui..haina maana tuwaache mama/shangazi/dada/wake/binti zetu wafe kwa vifo ambavyo vinaepukika. Vifo kwa ajili ya uzazi vinaweza kuzuiwa. Angalia takwimu uone kama nchi zilizoendelea wanawake wanakufa kwa sababu ya uzazi. I mean, hatuwezi zuia vifo vyote..lakini kuna vingi tu vinazuilika! Tuwajibike...na sio kusingizia kazi ya mola tu kila siku..
Naomba kuuliza huyo Rachel alikuwa ameolewa??....
alikuwa mzuri jamani... apumzike kwa amani!!
Apumzike kwa Amani...
ndio yule muimba taarabu alikuwa anapenda sana kukaa uchi
Bora ungekaa kimyaAlazwe anapostahili.
Guess what? Wema Sepetu is next!
Guess what? Wema Sepetu is next!
Atafuata baada yako....Uchawi tu mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuxxxxxxxxxxxcx@#*****!