Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Tanzia: Muigizaji Rachel Haule afariki dunia

Imeniumiza sana Jamani RIP Rachel
Hadi Nimemkumbuka member mwenzetu Chetuntu aliyefariki akiwa anajifungua .
Akina mama tunakazi jamani ,,EEH Mungu tupiganie
 
R.i.p Recho.....,kwakuwa tu Rachel ni msanii na mtu maarufu lakin vifo vya uzazi ni karibia kila siku vinatokea katika hospital zetu.
Uzembe wa serikal lakin pia hata hao wasanii wenyewe wanatakiwa kurudisha fadhila kwa mashabiki wao kwa kuisaidia jamii hasa katika nyanja ya elimu,afya na n.k.
 
Imeniumiza sana Jamani RIP Rachel
Hadi Nimemkumbuka member mwenzetu Chetuntu aliyefariki akiwa anajifungua .
Akina mama tunakazi jamani ,,EEH Mungu tupiganie

Inasikitisha sana jamani.
 
ndo ujue kifo hakichagui, masikini na matajiri wote tutakufa, hivyo yatupasa kutenda yaliyo mema ili tutakapokufa yaigwe na waliobaki!R.I.P Recho :wave:

Kifo kuwa hakichagui..haina maana tuwaache mama/shangazi/dada/wake/binti zetu wafe kwa vifo ambavyo vinaepukika. Vifo kwa ajili ya uzazi vinaweza kuzuiwa. Angalia takwimu uone kama nchi zilizoendelea wanawake wanakufa kwa sababu ya uzazi. I mean, hatuwezi zuia vifo vyote..lakini kuna vingi tu vinazuilika! Tuwajibike...na sio kusingizia kazi ya mola tu kila siku..
 
Hujanielewa na wala sijamuhukumu mtu na hakuna sehemu ambayo nimesema kwamba mimi sina dhambi, ila inaonekana imekuuma sababu na wewe ndo wale wale

Trust me huwezi kunielewa atleast not in this lifetime
Sasa kama una dhambi unanyosha vidole vya nini? Halafu wewe ni a repeat offender "wale wale" ndio nini haswa?
Unazungumzia dhambi unajua kweli dhambi ni nini?
 
Lakini operation ni more safe kuliko kujifungua kwa njia ya kawaida...madaktari hawapendi kuchukua risk ndio maana wakiona mambo ndivyo sivyo wana suggest operation....

Na ukute wali delay ndio maana mtoto amefariki...uking'ang'ana na kuzaa kawaida ndio hayo kumpoteza mtoto...kibongo bongo bora operation

RIP

Halafu mbona siku hizi operation zimekuwa common sn nini tatizo? yani mkeo akifika hosptl akisumbua kidogo tu tayar wanakwambia sign hapa,KULIKONI?

Nilimpoteza rafiki yng mwaka jana pale Lugalo, Jesca daaa kama utani vile.RIP dada Recho na my best Jesca.
 
Huko Nigeria wenye pesa sijuhi masupa star wote wanazalia US au UK...no wonder Davido ni raia wa US kwa kuwa wazazi wake ni mabilionea....

Nadhani tunatakiwa tuhakikishe serikali inawajibika kuboresha mazingira tusiwe kama wa Nigeria kukimbilia nje ya nchi kuepuka kifo...maana hapa Tz hata hizi private hospital ni vimeo tu

Kifo kuwa hakichagui..haina maana tuwaache mama/shangazi/dada/wake/binti zetu wafe kwa vifo ambavyo vinaepukika. Vifo kwa ajili ya uzazi vinaweza kuzuiwa. Angalia takwimu uone kama nchi zilizoendelea wanawake wanakufa kwa sababu ya uzazi. I mean, hatuwezi zuia vifo vyote..lakini kuna vingi tu vinazuilika! Tuwajibike...na sio kusingizia kazi ya mola tu kila siku..
 
1150382_375595062569993_244712656_n.jpg

Apumzike kwa Amani...
alikuwa mzuri jamani... apumzike kwa amani!!
 
Back
Top Bottom