Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
- Thread starter
- #21
Sasa je usinambie enzi hizo ulikua unamfahamu mwinyi pekee kisa unamsikia kwenye redio kua ni rais.
[emoji23][emoji23][emoji23] kwamba hata sisi watoto wa shamba tulikuwa tunawajua? Acha utani mdogo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app