MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Kila nafsi lazima itaonja mauti, hilo lipo na litakuwepo siku zote, ila kuna wengine wakiondoka tunaachwa na maswali mengi sana na kuomba bora wangevuta muda kidogo, hata hivyo hatulaumu ila kumshukuru Mungu maana ndiye mwenye uwezo wa kutoa na kutwaa, muigizaji na mcheshi bwana Charles Bukeko almaarufu kama Papa Shilandura katuondoka hivi hivi mazima mazima.
Mungu awape familia na marafiki wepesi kwenye hili lililowakuta.
Mungu awape familia na marafiki wepesi kwenye hili lililowakuta.