Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

RIP Ally, huyu kweli aliipenda Yanga.Siyo yule Steve aliehamia Azam
 
Poleni kwa msiba

Inna lilah wainna ilaih rajioun
 
Uongozi, wanachama na wapenzi wa yanga imepata pigo baada ya kuondokewa na bonge la shabiki wao mpendwa Ally Yanga kwenye ajali ya gari huko mwanza. Mungu aiweke roho ya malahemu mahali pema peponi AMINA

Pia ni pigo kwa Chama Kubwa CCM.R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…