Fekifeki
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 1,504
- 632
It iz not fare mkuu!!Yeye ni nani mpaka kifo chake kiwekwe huku. Stupid!
R.I.P Ally Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It iz not fare mkuu!!Yeye ni nani mpaka kifo chake kiwekwe huku. Stupid!
Dah kuna watu mnakosa ubinadamu kabisa buku 7 inawatia kiburiYeye ni nani mpaka kifo chake kiwekwe huku. Stupid!
Ushaambiwa alikuwa famous fans wa club ya Yanga(Vyura fc). Watu wa mpira kwao hii in habari.Yeye ni nani mpaka kifo chake kiwekwe huku. Stupid!
Pole yako. Ulitaka uwe ww? Bashite mkubwa wwYeye ni nani mpaka kifo chake kiwekwe huku. Stupid!
Yaani mkuu sijui hata huyu ni binadamu wa namna gani!Dah kuna watu mnakosa ubinadamu kabisa buku 7 inawatia kiburi
Uwe na hekima jombii....kifo ni kifo...leo kwake kesho kwako!!
Ushaambiwa alikuwa famous fans wa club ya Yanga(Vyura fc). Watu wa mpira kwao hii in habari.
Wewe uliyezoea vigodoro tip ur middle f on ur as.s h then ukalale
Dah kuna watu mnakosa ubinadamu kabisa buku 7 inawatia kiburi
Mkuu Troll JF tafadhari, uwe na hekima, sio kila jambo linahitaji ghadhabu na hasira.
Mbona Thread iko Jukwaa la Michezo Taangu SAA 9 Alasiri na Nimetoa salamu zangu za Rambi rambi kwa Familia yake na Mashabiki wa Yanga. Nimeshangazwa na Mleta Thread alivyochelewaIt iz not fare mkuu!!
R.I.P Ally Yanga
Ndio maana mimi nataka mwenge usikimbizwe kila siku tunapata hasara tuu ona huyu kijana kajifia bureView attachment 527636
Shabiki maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki dunia kwa ajali ya gari eneo la Chipogolo- Mpwapwa.
Mwanachama Maarufu wa Yanga ,Ally Yanga amefariki muda huu kwa ajali ya gari alikuwa katika Mbio za Mwenge huko mkoani Dodoma.
Innah Lilah wainah illah rajiuun
Poleni mashabiki na kiongozi Wa club ya dar young African kwa kuondokewa na shabiki maarufu wa club ya yanga ndg Ally yanga kilichotokea kwa ajaliya gari akiwa kwenye msafara wa mbio za mwenge huko Dodomampwapwa.
View attachment 527635
Rest in peace Ally yanga mbele yako nyuma yetu tutakukumbuka sana na tutamiss sana vituko vyako uwanjani na kwenye chama chetu pendwa chama cha mapinduzi mungu akulaze mahali pema na peponi
View attachment 527704
Gari iliyopata ajali
Katolewa kafara ili mwenge upate kusonga mbele. Hizi rambi rambi ni sherehe kwa ccm. Mkulu huko kafurahia sana. Anajua kias gani kitapatikana ili akawalipe mafundi wa bombadier mtumba.Tinga Tinga?
It is not what?It iz not fare mkuu!!
R.I.P Ally Yanga
we makinikia ndio umeandika Nini?? Ungeandika tu hata kisukuma tuu,it coudnt be true
Kitaje hicho chama jina .....ikiwezekanaAli amekuwa akishiriki katika matukio mbalimbali hata ambayo sio ya kimichezo. Mfano aliwahi kuonekana kwenye kampeni za uchaguzi za chama kimoja hapa Tanzania mwaka 2015.
Ndo ukaandika kile ulichikiandika! We ni wa kuhurumiaMbona Thread iko Jukwaa la Michezo Taangu SAA 9 Alasiri na Nimetoa salamu zangu za Rambi rambi kwa Familia yake na Mashabiki wa Yanga. Nimeshangazwa na Mleta Thread alivyochelewa