Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

Ali amekuwa akishiriki katika matukio mbalimbali hata ambayo sio ya kimichezo. Mfano aliwahi kuonekana kwenye kampeni za uchaguzi za chama kimoja hapa Tanzania mwaka 2015.
Kitaje hicho chama
 
Mbona wengine wanasema ni mpwapwa alikua kwenye gari la mbio za mwenge
 
Dah shabiki wetu wa damu kabisa. Roho yako ilale mahala pema peponi Ally. Pole kwa familia na wote walioguswa na msiba huu.
 
Kufa kwa ajili ya mwenge huu huu? What a price to pay! Any way RIP Mayanga
 
Mbio za mwenge zikifika mpwapwa zinatoa uhai ..Pole familia ya mwanamichezo mwenzetu.
 
upload_2017-6-20_18-1-26.jpeg
upload_2017-6-20_18-1-42.jpeg

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza shabiki mkubwa wa Yanga, Ally Yanga amefariki dunia.


Taarifa zinaeleza, Ally Yanga amefariki dunia katika ajali ya gari huko Mpwapwa mkoani Dodoma.

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Salum Mkemi amethibitisha kwamba ajali hiyo imetokea leo mchana na Ally amepoteza maisha.

Ally Yanga anakumbukwa kutokana na mbwembwe zake kila Yanga ilipokuwa inacheza.

Alipenda kujipaka masizi meusi huku akiweka kitambi cha bandia.

mwanachama maarufu wa Yanga ,Ally Yanga amefariki dunia kwa ajali ya gari akiwa katika mbio za mwenge wa Uhuru wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma Leo.

Yanga kifo chake kimetokana na gari alilokuwa akisafilia kuacha njia na kupinduka wakati akiwa kwenye shughuli za mbio za mwenge.
Marehemu Ally Yanga alikuwa na wenzake wawili katika gari aina ya Rav 4 ila inasadikika kilichopelekea kifo chake ni baada ya yeye kurushwa nje ya gari wakati wa ajali, wenzake wamejeruhiwa tu.
IMG-20170620-WA0025.jpg
IMG-20170620-WA0055.jpg
 
Back
Top Bottom