Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andika tu Kiswahili....it coudnt be true
Umesoma habari ukaielewa..??Mbona Mwenge haupo Mwanza!? Labda gari iliyo katka trip za kawaida tu
Kitaje hicho chamaAli amekuwa akishiriki katika matukio mbalimbali hata ambayo sio ya kimichezo. Mfano aliwahi kuonekana kwenye kampeni za uchaguzi za chama kimoja hapa Tanzania mwaka 2015.
Yanga utawaweza?Andika tu Kiswahili....
Nimesoma nikaelewa ndio maana nikacomment ikasaidia wakaedit hiyo habari. Waliripoti imetokea Mwanza kwenye mbio za mwenge wakati najua mwenge Mpwapwa.Umesoma habari ukaielewa..??
Hilo eneo 2013 pia kulitokea ajali.Ajali imetokea wiyenzele njia ya kuelekea Chipogoro
Uwe na hekima jombii....kifo ni kifo...leo kwake kesho kwako!!Yeye ni nani mpaka kifo chake kiwekwe huku.