Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

Tanzia: Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwenye ajali ya gari Dodoma

Poleni sana mashabiki wote wa mpira. Sisi mashabiki wa Yanga tumeumia sana kwa kuondokewa na shabiki mwenzetu.
 
Ajali imetokea Mpwapwa Dodoma sio Mwanza kam a ilivyoandikwa.R.I.P mtani mbele yako nyuma yetu
 
c133edf4a4f6a3e648e8c30bd564663b.jpg
b
1497966782553.jpg
 
Unajua hii mambo ya Yanga kukataa hata jezi zenye nembo nyekundu za vodacom kuna ishu. Sasa hiyo gari naona ina rangi nyekundu hivi.

Rest Where Prepared
 
Back
Top Bottom