Afyayaakili
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 924
- 1,263
Ilikuwa info collegeNakumbuka pia rafiki yangu alifariki kwa kisa kama hiki na ni huko huko dom.By the way apumzike salama
Ilikuwa info college
Jan 02, 2011 alikufa mwanafunzi mwingine wa cive - udom katika swimming pool ya Dodoma Hotel!.
R.I.P Brother
Jan 02, 2011 alikufa mwanafunzi mwingine wa cive - udom katika swimming pool ya Dodoma Hotel!
R.I.P Brother
Patakuwa panakitu ktk hilo pool sio bure,why kila xmass na.mwanzoni mwa mwaka wanakufaaaa????
Lete taarifa kamili ni nani jina lake? Anasoma degree program gan na kwao wapi? I have alot of friends hapo chuo.