Tanzia: Mwanafunzi coed-UDOM afariki dunia

Mwanafunzi wa mwaka wa tatu college of education afariki dunia akiwa anaogelea kwenye swimming pool ya hotel moja hapa mjini Dodoma. Alikuwa akisherekea sikukuu ya X-Mass na marafiki. R.I.P Brother.
mm kuna kitu kweli.maana sweeming pool sizani kama ni kubwa sanaa kiasi cha kushindwa kumuokoa mtu.inamaana hata wanafuni wenzie walishindwa muokoa?je hotel haina waangalzi wa pembeni?bado sijaelewa kabisa..baharini ndio majanga sana.sweeming pool wanaweza i control kwa kumuweka hata mtaalamu mmoja au vifaa vya emergancy kumvuta aliezidiwa
 
simuhukumu marehemu... ila hakuna kifo rahisi kwenye maji kama ukioga huku ukiwa umelewa... hii hata ujue kuoga maji yanaweza kukushinda kwa 70%...(simaanishi kuoga bafuni)
KUHUSU HIYO HOTELI..INATAKIWA IWE NA MIFUMO MIZURI YA UANGALIZI NA UOKOZI as long as wameweka starehe hatarishi kama hiyo swimming pool.. tena usikute hata migfumo ya kuepuka na kupunguza madhara ya majanga ya moto ni tatizo..
REST IN PEACE MSOMI..GONE TOO SOON
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…