AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,367
- 1,293
mm kuna kitu kweli.maana sweeming pool sizani kama ni kubwa sanaa kiasi cha kushindwa kumuokoa mtu.inamaana hata wanafuni wenzie walishindwa muokoa?je hotel haina waangalzi wa pembeni?bado sijaelewa kabisa..baharini ndio majanga sana.sweeming pool wanaweza i control kwa kumuweka hata mtaalamu mmoja au vifaa vya emergancy kumvuta aliezidiwaMwanafunzi wa mwaka wa tatu college of education afariki dunia akiwa anaogelea kwenye swimming pool ya hotel moja hapa mjini Dodoma. Alikuwa akisherekea sikukuu ya X-Mass na marafiki. R.I.P Brother.