Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Kupitia Mtandao WA Bongo 5 na Baadhi Ya Account za Facebook Za WAsanii Wengine kumekuwepo Na Habari za Kifo Cha Msanii Geez MAbovu Kutoka Iringa Lakini Chanzocha Kifo BAdo Hakija elezwa



Mungu Amlaze Mahala Pema
R I P
 

Attachments

  • mabovu 2.JPG
    79.9 KB · Views: 3,231
  • mabovu.JPG
    13.8 KB · Views: 3,165
Duh....RIP Geez....too young to go.....
 
Labda nakosea ila iwapo mtu ametutangulia mbele ya sheria either tunamwombea RIP au tunakaa kimya. Kumkashifu aliyeondoka sio vizuri hasa pale tunapoongelea uvumi tu.
 
Nakumbuka nilipotoka dirty south Iringa/
Sikuja kwa bus town, bali na ndinga/
Full maujanja, sikuzijua shida/..

R.I.P Mabovu.
 
Leo mtaani kuna part flani, machizi wote......................... mabov ft ngwea. R.I.P brothers
 
Yeah amekufa mamii...madawa yatawamaliza kaka zetu jamani...
 
Unga mbaya , unga noma , Mungu akuhurumie , akupokee huko tujapo.
 
Lord eyez , ABOU, Chidi, na ma lofa wooote wanaotumia unga wakidhani watapona. Jifunzeni.
Kila list ninayoweka ujue kuna mmoja anakaribia kusepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…